Patra31 JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 6,918 Reaction score 13,885 Jun 5, 2021 #21 BEHOLD said: Hii kitu kwa nguvu za kiume, pweza na vimbi tupa kule Click to expand... kwa kusema hivi umeyaongezea thamani
BEHOLD said: Hii kitu kwa nguvu za kiume, pweza na vimbi tupa kule Click to expand... kwa kusema hivi umeyaongezea thamani
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Jun 5, 2021 #22 Daah kuna vitunda vinaitwa kunazi Kwa kiingereza vinaitwa Ziziphus mauritiana sijui kuna mtu anavijua humu.? Nimeyamiss kishenzi,Kama kuna mtu anajua yanapouzwa anijulishe tafadhali.
Daah kuna vitunda vinaitwa kunazi Kwa kiingereza vinaitwa Ziziphus mauritiana sijui kuna mtu anavijua humu.? Nimeyamiss kishenzi,Kama kuna mtu anajua yanapouzwa anijulishe tafadhali.
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,497 Reaction score 16,180 Jun 5, 2021 #23 mng'ato said: Daah kuna vitunda vinaitwa kunazi Kwa kiingereza vinaitwa Ziziphus mauritiana sijui kuna mtu anavijua humu.? Nimeyamiss kishenzi,Kama kuna mtu anajua yanapouzwa anijulishe tafadhali. Click to expand... matunda yanalewesha yale mkuu
mng'ato said: Daah kuna vitunda vinaitwa kunazi Kwa kiingereza vinaitwa Ziziphus mauritiana sijui kuna mtu anavijua humu.? Nimeyamiss kishenzi,Kama kuna mtu anajua yanapouzwa anijulishe tafadhali. Click to expand... matunda yanalewesha yale mkuu