Haya mavazi huwa yanawapendeza sana wadada!!

Mambo mengi muhimu ni ule utamu wa ndani unaolingana au kuendana na mwonekano wa nje. Wengi wetu tumeishia kujilaumu kwa kupoteza muda na fedha. Tunachokiona na kuonja kwa ndani hakifanani hata kwa robo na kile cha nje.

kwani ndani kuna nin mkuu?
 
utakuwa unaumwa ule ugonjwa wa mfadhaiko.....
 
Mambo mengi muhimu ni ule utamu wa ndani unaolingana au kuendana na mwonekano wa nje. Wengi wetu tumeishia kujilaumu kwa kupoteza muda na fedha. Tunachokiona na kuonja kwa ndani hakifanani hata kwa robo na kile cha nje.
Tatizo figure nyingi ni feki zipo kichina zaidi,Angalia sofa la kichina ukiliangalia kwa nje saafiiii,ukilinunua tu feki.
Kaka tulia na shemu tu.
 
dah! we mkali mno,mwenzio mpaka nione chupi ndio huwa akili inanivurugika.Nalog off
 
Bora uendelee kudata kwa kuona tu. Ukifungua ndani hutaona cha maana. Kwa akina sisi tuliopata fursa ya kufunua wengi tumeishia kujilaumu tu.

Baba kifunu nini wewe? Haya ulifaidi nini kuwafunua? Mikosi mingine mnaita wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…