WANA JF;
Kati ya vitu vinavyochangia pia uume kuwa mdogo ni kukosekana/upungufu wa mtiririko mzuri wa damu kwenye UUME. Na hii inachangiwa sana na mavazi tunayovaa sisi wanaume. Hasa chupi zetu zikiwa zimebana sana uume wetu na hivyo kusababisha damu kupita kwa shida kwenye mishipa ya Uume. Hili ni taztizo kubwa sana; ndiyo maana wataalamu wanashauri kwamba, ni vizuri wanaume tujaribu kuvaa nguo zinazoruhusu damu kupita kwenye uume bila shida na hata wkt mwingine tukiwa majumbani basi hakuna haja ya kuvaa chupi. Inashauriwa kwamba ni vizuri uvae nguo itakayokupa hewa safi na nafasi sehemu zile. Kwa Waislamu Wanaume wanapenda kuvaa lile vazi kama Khanga/kitenge (nimesahau jina mtanisamehe-mnisaidie jina la hilo vazi) na hili vazi ni zuri sana kwa ajili ya kuboresha UUME wetu, kwani inaruhusu Damu kupita kirahisi na hata hewa kupita hizo sehema bila tatizo. Kuna watu ambao si Waislamu kama mimi lkn katika hili hata sisi tunavaa haya mavazi kwa ajili ya afya zetu. Ikishindikana unaweza kuvaa KITENGE, Unaogopa nini, si uko kwako na kama muda mwingi uko chumbani ni kwanini unahofu kupata upepo?
Pili, ni hatari sana kulala usiku huku umevaa mavazi mengi kama Chupi, mara Bukta juu, maana joto litakalozalishwa si njema kwa afya ya Uume wetu.Hivyo, Wanaume wanashauriwa kulala huku chini pako free ili kitu kijinafasi. Na ktk hili uwe umeoa au uko single poa tu.
Jamani, Joto linalozalishwa na haya mavazi yanachangia sana kuharibu size za Uume wetu, na hivyo ni vizuri tuchukue tahadhari.
Hata Wakina Dada/Mama ambao nao hupenda kuvaa Blauzia zinazowabana sana nazo ni hatari, kwani tafiti zinaonyesha kwamba hili nalo inachangia kwa kiasi fulani matatizo ya Cancer ya Matiti. Hivyo, wanashauriwa wakina mama/dada kwamba, Nyakati za Usiku mnapolala ni vizuri walele bila Blauzia.
Nawasilisha.
Source: Masomo mbalimbali yanayohusu mambo ya kiafya.