Haya mazingira ni ushahidi tosha kwa CHADEMA dhidi ya rushwa ya ngono

Haya mazingira ni ushahidi tosha kwa CHADEMA dhidi ya rushwa ya ngono

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!!

Kwa muda mrefu uongozi ndani ya chadema imekuwa ikituhumiwa kuhusika na rushwa ya ngono kwa wabunge wa viti maalum ila washabiki na baadhi ya wanachama wa chadema wamekuwa wakitafrisi tuhuma hizo kama giliba za kisiasa.

Binafsi wakati nikiwa university nilivutiwa na sera ya chadema miaka 4 iliyopita ila nilikaa chini,nikaanza kuichunguza chadema kwa undani zaidi nikagundua msingi wa uanzishaji chadema itapelekea familia fulani na kabila fulani kuwa miungu watu na wafalme na wakufanya maamuzi ya mwisho ndani ya chama hichi japo ukiangalia kwa juu juu utaona kama haina hizi elements,kilichofanyika ni kuficha ukabila na msingi hatari iliyonayo chama hichi ili ipate kibali kwa wananchi ila ikishashika dola ndio mtawaaona wenye chadema yao,hawa wakina Lisu na wengine ni magarasha tu..Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini Lema ananguvu ndani ya chadema na anakimbelembele kama bint mwajuma,Lema ni mtu wa wap na mbowe ni mtu wa wap...Lema kuna wakati mwingine anongea ndani ya hicho chama kama ndio mwenyekiti.

Turudi kwenye mada husika,nikweli kwa ufumo wa chadema na aina ya uongozi wa chadema ni wa kihuni na viongozi ndani ya chadema wanatembea na wabunge wa viti maaluma pasipo kuheshimu yakwamba wengine ni wake za watu.Mfano kuna mbunge mmoja wa songwe wa vitu maalum,ambaye amekuwa akigawa uroda ndani ya chadema mpaka amepelekea ndoa yake kuvunjika...Nimejiuliza haka kabunge hakapo smart ,how come akawa mbunge?kumbe lazima uvue chupi upewe nafasi.

Huyu mbunge kabla hajawa mbunge alikuwa na ndoa yake tena mume wake ni mfanyakazi kwenye sekta nyeti ya serikali na anangawiraa za kutosha tu,japo nasikia mwanamke mwenyewe ni mgawaji mzuri tu muda mrefu ila kutokana na tabia yake akaona fursa chadema yakwamba wakula wanataka tunda tu then hapo umekuwa umepata nafasi basi nayeye akagawa mpaka akavunja ndoa yake.

Swali la msingi ninalo jiuliza hapa kama chadema kweli hakuna vitendo kama hizo kwanini Ndoa ya huyu mbunge imevunje baada ya kuwa mbunge...Swali lingine:kwa mbunge kama huyu mweupe kichwani amepataje nafasi hii...

Nawasilisha
 
Hakuna mtu anahangaika na mambo binafsi ya watu, hawa ni binadamu tu kama wewe wanakula na kufanya mambo mengine kama kawaida isipokuwa ni wanademokrasia sio madikteta kama mtu yule wa ccm.
 
Mkuu miaka minne unachunguza ndoa za watu?ndio maana wanaume tunazidi kupungua tu nikajua umeshusha nondo za maana kumbe bure kabisaaa.Nyie ndio mnaochapiwa wake zenu mnaishia kuwaua kumbe jitu zima upo bize na umbea badala ya kushughulika na yako.
 
Hii nafas uliyopewa hapo lumumba ya kupewa hela kwa kuandika utumbo huu nani ulimpa hyo pochi manyoya yako sugu.Achen upuuz habari za kugongana ni faragha haiwez kuzushwa na mtu mwingne bila mhusika
 
Samahani najua sio vizuri kujibu swali kwa swali ila kwa wewe sio mbaya nikikujibu kwa njia ya maswali ili kukupanua ubongo

1. Katika ccm hakuna ndoa ya kiongozi/mbunge iliyovunjika katika miaka 5 hii inayoisha?

2. Unapima nini kujua mtu yupo mweupe kichwani kama ulivyomtuhumu huyu mbunge wa Chadema? Kama kuna mechanism ya kupimia watu weupe wao kichwani, umewahi kuitumia kupima vichwa vya baadhi ya wabunge wa CCM kama kibajaj au msukuma? Wali score ngapi?

3. Wabunge wa CCM wote ni 100% bright? Kama wapo vilaza, je wao waligawa nini kupata ubunge?

Naomba nihitimishe kwa kukushauri mambo 2 tu kwa leo mdogo wangu, mosi, siasa ni mchezo wa kucheza na connections tu (especially kwa hapa kwetu Tanzania). Ukiweza kujipanga na kupanga karata zako kutumia connections ni rahisi kupata ubunge hata kama hakika kichwani hujasheheni madini na pili, ACHA KUFATILIA MAISHA YA WATU! Haitakusaidia kitu kamwe. Kama aligawa uroda akapata ubunge kwako shida ni nini, hicho alichokigawa si ni chake, alikuzima cha kwako tuseme labda uliumia ndio maana unalalamika?
 
Mkuu miaka minne unachunguza ndoa za watu?ndio maana wanaume tunazidi kupungua tu nikajua umeshusha nondo za maana kumbe bure kabisaaa.Nyie ndio mnaochapiwa wake zenu mnaishia kuwaua kumbe jitu zima upo bize na umbea badala ya kushughulika na yako.
Kwa hizi tuhuma za chadema zinazorushwa kila kona...lazima tuchunguze ili kubaini ukweli..haiwezekani chama hiki kilaumiwa kila kona dhidi ya rushwa ya ngono alafu watu tukae kimya tu.
 
Back
Top Bottom