JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Nimejiuliza sana kuhusu mazingira ya hivi vyoo, hata kama ndio tunatumia watu wengi, ndio washindwe kuweka mazingira vizuri kwa kiwango hiki?
Jionee mwenyewe, vyoo “vimekomaa na uchafu” humu ukiingia unatoka na magonjwam ukiponapona sana umepata UTI sugu.
Vyoo hivi vinamilikiwa na Halmashauri ya Wilaya Mkoani Mwanza, natoa wito mamaka husika, mboreshe huduma ya vyoo kwenye eneo la Kivuko cha Kigongo-Busisi hali ya uchafu nim baya.
Kinachokera zaidi huduma ya eneo hilo inalipiwa lakini wahusika sijui wanachukua fedha hizo na kupeleka nyumbani kwao?
Kinachosikitisha zaidi ni kuwa nje ya Vyoo hivyo kuna watu wanauza vyakula hasa wale wa kutembeza na baadhi yao wanaingia pia kujisaidia kwenye vyoo hivyo, tutapona kweli hapa na magonjwa ya Tumbo ikiwemo kipindupindu?