Haya mkuje mkuje tumtakie heri King

Haya mkuje mkuje tumtakie heri King

Neyonzima

Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
67
Reaction score
130
Basi leo tunakumbuka kuzaliwa kwa King Ali Kiba naomba wote wenye mapenzi mema tumtakie neno la Heri Mfalme ukisindikiza na mstari wa wimbo unaoupenda mi naanza kama hivi...

Yule aliyepanda kwenye lile shamba langu hakuona uchungu kuizunguka nyumba yangu ukatanda ukungu kwa penzi la madhulumu anaye tena kamtema alikua hawara eeehhhh..

Happy birthday King of Bongo Fleva Ali Kiba.
 
Leo King atafanyia sherehe yake ya bday pale pahali zamani palikua panaitwa kilimanjaro Kempinsiki watakuwepo viongozi mbalimbali na atazindua TV yake inaitwa Kiba online tv.

Hapendi kujionyesha king kiba.
 
Happy birthday
Screenshot_20191129-175000.jpeg
Screenshot_20191129-174952.jpeg
Screenshot_20191129-174904.jpeg
Screenshot_20191129-175049.jpeg
 
Basi leo tunakumbuka kuzaliwa kwa King Ali Kiba naomba wote wenye mapenzi mema tumtakie neno la Heri Mfalme ukisindikiza na mstari wa wimbo unaoupenda mi naanza kama hivi...

Yule aliyepanda kwenye lile shamba langu hakuona uchungu kuizunguka nyumba yangu ukatanda ukungu kwa penzi la madhulumu anaye tena kamtema alikua hawara eeehhhh..

Happy birthday King of Bongo Fleva Ali Kiba.
KING NI MMOJA TU AMBAE NI DIAMOND BABA LAO HUYO AJUZA TUTOLEE HAPA SHENZI.
 
Back
Top Bottom