KING NI MMOJA TU AMBAE NI DIAMOND BABA LAO HUYO AJUZA TUTOLEE HAPA SHENZI.Basi leo tunakumbuka kuzaliwa kwa King Ali Kiba naomba wote wenye mapenzi mema tumtakie neno la Heri Mfalme ukisindikiza na mstari wa wimbo unaoupenda mi naanza kama hivi...
Yule aliyepanda kwenye lile shamba langu hakuona uchungu kuizunguka nyumba yangu ukatanda ukungu kwa penzi la madhulumu anaye tena kamtema alikua hawara eeehhhh..
Happy birthday King of Bongo Fleva Ali Kiba.