Haya mliowahi angalia hizi movie tujuane

Haya mliowahi angalia hizi movie tujuane

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
KALI ZA KITAMBO
1.Anodi la Jenii
2. Prideta
3. Mniga analiwa na mamba
4. Komando kipensi
5. Rambo usongo
6. Maiko dudukofi Ninja
7. Sensia kani
8. Wabasi
9. Anodi la ujiuji
10. Chaki nolis
11. Saibogi
12. Van Dame kipupute
13. Stivin Siga
14. Boloyanki
15. TaiChi
16. Linolenzi
17. Mzee Ashanti
18. Temineta
19. Amita yayaaa
20. Jack cheni
21. Blusilii
22. No litriti no sarenda
23. Kuchi kuchi
24. Govinda
25. Shumsheti na Akshei
26. Misuni chakalaboti
27. Titanike
28. Yondo Sister
29. Aivoni chakachaka mukombochi
30. Laki Seven
31. Bebi alone
32. Amerika Ninja
33. Tazani
34. Rambo
35. Batman na supaman (popobawa)
36.
37.


Enzi za banda la tivii maliza sana hamsini zetu. Na kunyuti kwenda skuli

Aloo mods muwazuie panya road wasichukue uzi huu wa wazee vijana
 
Mkuu zinaitwa hivi
1.commando
2.predator (alikufa kwa ukimwi huyo aliyecheza predator)
3.the hardway (the only way)
4.deadly prey
6.american ninja
11.cyborg
14.no retreat no surrender
18.the terminator
Ni kweli mkuu lakini huku mtaani kwetu ukiandika hivyo hata kwenye ubao wa matangazo hatuelewi
 
Ha ha ha kweli aisee
Ila nilichogundua ni kuwa zamani wazungu walituuzia low quality
Ukiangalia kwenye dstv wakizirusha kwao huko ni HD kabisaaa
Ni kweli hata ukizicheki youtube au torrent ziko HD sana ma VHS yalikuwa ya kiongo
 
Mkuu zinaitwa hivi
1.commando
2.predator (alikufa kwa ukimwi huyo aliyecheza predator)
3.the hardway (the only way)
4.deadly prey
6.american ninja
11.cyborg
14.no retreat no surrender
18.the terminator
Hadi wei ndo hiyo ya mniga analiwa na mamba
 
daaah natamani nirudi utotoni.
enzi hizo ilikuwa Kila nikirudi home stick but sikomi.kesho yake tenaaaa

ilikuwa ikifika 3/4 usiku wanasema mida ya pilau.
sasa watoto walikuwa wanatutoa nje.
dawa yao ilikuwa tunalipa kingilio mara 2 ya watu wqzima au tunachana makuti na kuchungulia..dah ilikuwa so pw..baada ya kuchek pilau bhas hapo wadau wanaagana kwa stahili ya kwenda kukojoa an hapo ndo hadi kesho tena.
 
Rufufu atapigwa moto mkali kwa kututafsiria uongo.. Shenzi kabisa alikua hajui kingereza kabisa.
Umesahau..
  • Shaulini visi lama
  • Shurushet Na ajei
  • Anodii ya jenii
  • Sanideo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakali hao
images.jpeg
terminator-2-sd-screencapture-shotgun-movie-prop-10.jpg
 
Back
Top Bottom