Haya mliowahi angalia hizi movie tujuane

dah nilikuwa hadi nabana sadaka nikacheki movie na chenjichenji zilizokuwa zinazubazubaa nilikuwa nazipitia sana........
 
Duski dauni Dofu
Scorpio Scorpion Dofu
Striker na Chakoda
Soja boys
Blood sport 1,2,3,4,5
Kick boxer zote
Best of the Best zote nne.
Jeshi la wafu
The living dead zote
Return of the living dead zote
End of the day Anold
Nam Angels
Bullent in the head
Crying free man
Hero shade no tears
Jack Chan mmasai
Alex kimbia
Dame msalabani
Sun Dutt msalabani
Eastern Condors
Panya msosi
Blade zote
Missing in action
Fifty fifty zote
Dame na Dofu zote
No retrit no surrenda ( Adui Nyerere nywele nyeupe hahaaa)
Vampire
Santa amigo pandamunio Solo
Stiven Seagal nafkiri zote
57 passenger wisley snipes
Jim carrry the mask( every kid had to watch this it was irresistible to kid)
Blood moon
Rage Gary Daniel etc etc nimekumbuka za fasta fasta hizo hahaaaaa
 
Mkuu umetisha
 
We mkali niongezee I GOTTA GIT YOU SACKA hii ni ya waniga watupu ina mkono sana na UNDER SIEGE tuliitaga 'Lodilodi siifaaa'
 
Mi sijui kwa nini nilikua sio mpenzi wa kuingia kwenye yale mabanda
 
I have watched all...ila hivyo ya yaya sio Amita ni Govinda yaya adui Ranjit
Mzee Anupam Kher ndio aliigiza kama 'adui' kwenye hiyo movie.
Zama hizo nilikuwa simjui huyu mzee nikawa namchukulia poa,miaka hii ya dunia ni kijiji ndio nakuja kujua kumbe huyu mzee ni bonge muigizaji kule India.
Yote kwa yote unamkumbuka "mtoto wa kike" aliyegiza na Govinda kwenye hiyo Hatya mkuu?....
Anaitwa NEELAM...dahhh!
Niliitazama hiyo filamu zaidi ya mara kumi kwa ajili ya huyu mrembo aisee,zile pozi zake akiongea na mikogo yake akicheza masongi acha kabisa.Nilitamani mimi ndio niwe Govinda...haahahaaaaa!!.
Ila warembo wa kihindi zama hizo walikuwa si wa mchezo mchezo...
Unawakumbuka kina Dimple Kapadia,Sri Devi,Juhi Chawla!!
Halafu kuna mtoto moja aliwagombanisha Sunil Shetty na Akshay Kumar kwenye MOHRA wa kuitwa Raveena Tandom naye ni sheeedaa!.
Dahhh ngoja nisikilize wimbo wa "Forever young" kwanza kabla sijaenda kufyatua
tofali ili watoto wapate mkate!.
 
Kweli utoto wangu nimeutumia vizuri.
Hiyo ya Anord nilikuwa naiita Jeniiiiiii.
Prideta ni ile kama robot lenye sura ya shoziii??
Sinsiaaa
Chakinoris
Saibogii
Karibia zote ulizoziandika nimeangalia.
Tulikuwa na banda umizaa enzi hizo.
Kitambo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…