Carica_papaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 767
- 1,272
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vizuri kujifunza lugha ngeni kwani husaidia mambo mengi. Ila lugha bila kukuza technolojia na uchumi haina msaada mkubwa. Ukiangalia nchi zinazozumngumza Kiingereza kizuri kama Kenya, Uganda , Zambia etc ndipo mchina alipojiwekea mikataba yake ya kinyonyaji pamoja na kuwa yeye Kiingereza chake ni cha kuunga unga.View attachment 2025567haya mnaojifanya ni Wafalme wa Lugha ya Malkia Afrika mashariki, Motokeo hayo hapo
Kizungu cha kenya hakina faida yoyote maana wanakitumia kwa kusujudia wazungu tu, bora wangetupatia sisi watz hicho kizungu chao tukitumie kuangalizia muvi za sessionView attachment 2025567haya mnaojifanya ni Wafalme wa Lugha ya Malkia Afrika mashariki, Matokeo hayo hapo