Haya mnaojifanya ni Wafalme wa Lugha ya Malkia Afrika mashariki, Motokeo hayo hapo

Kwahiyo Bongo hatupo?
Hapa swala hili lilijadiliwe bungeni
 
View attachment 2025567haya mnaojifanya ni Wafalme wa Lugha ya Malkia Afrika mashariki, Motokeo hayo hapo
Ni vizuri kujifunza lugha ngeni kwani husaidia mambo mengi. Ila lugha bila kukuza technolojia na uchumi haina msaada mkubwa. Ukiangalia nchi zinazozumngumza Kiingereza kizuri kama Kenya, Uganda , Zambia etc ndipo mchina alipojiwekea mikataba yake ya kinyonyaji pamoja na kuwa yeye Kiingereza chake ni cha kuunga unga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…