Haya mpeni kura mchumba wangu huyooo

Haya mpeni kura mchumba wangu huyooo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Duuu Utafikiri haendi Toilet? Hatari jamani huyu Mchumbaaaa

7373d1262575230-haya-mpeni-kura-mchumba-wangu-huyooo-33z431h.jpg
 
Attachments

  • 33z431h.jpg
    33z431h.jpg
    115.9 KB · Views: 1,242
Mzizimkavu,

sasa hapa toilet iimetokea wapi tena?
...afazali ungesema ukiwa nae huendi grocery...mtindi utelee!!!😀
 
Naona mzizi umesha anza kujipakulia!
 
Lahaula maashaalah
afu rangi hizo zikipiga nguo black aaah wee acha tuu
 
Naona mzizi umesha anza kujipakulia!
Si unajua tena kwa kujipendelea hatoshi huyu bwana.
Kem cheki Avatar yake ilivyobeba nondo kisha ukikutana nae
usishange mtu kiduchuuu...😀
 
Hapo umepata, lakini mkapime kwanza
 
Onyesha Usafiri ili ili tulinganishe.inawezekana usafiri ukamwangusha.
 
Haswaaaaa!

Upo wakati nilikutana na binti kwenye daladala (Mwenge- Mikoroshini).Hakika nilivutika kwake kweli kweli na kulazimisha kukaa karibu nae lakini sikuweza, daladala lilishona, nikawa nimesimama mbali. Nikajipanga moyoni nifike mpaka atakaposhukia. Hapo naishis Kimara Mwisho, lakini nikajikuta nimefika Buguruni chama.

Binti aliposema "konda shusha hapo", kwa kuwa nilikuwa karibu na mlango nika "drop faster", mashalaah, aliposhuka, nikaishiwa nguvu hata ya kuendelea kumtimzama, nikamhurumia (miguu yake yote haifanyi kazi kabsaaa, anatembelea magongo). Nikageka kuvuka ng'ambo ya pili ya barabara kuchukua daladala la kunirejesha tena Ubungo huku moyoni nikimsifu "Bwana wa Majeshi" kwa uumbaji wake!....
 
Si unajua tena kwa kujipendelea hatoshi huyu bwana.
Kem cheki Avatar yake ilivyobeba nondo kisha ukikutana nae
usishange mtu kiduchuuu...😀

Mkuu Ab-Titchaz Asante kwa kunikandia mimi ni mrefu fut 1.78 nina wa kilo 80 nina mwili mzuri au kwa lugha ya kiingereza Handsome boy nina miaka miaka 45 sasa huyo mwanamke hanifai kuwa mpenzi wangu?
 
Hapo umepata, lakini mkapime kwanza
Mkuu Gama Tukapime nini?hata kama anao HIV mimi niempenda tu Waswahili husema Nzii Kufia kwenye kidonda ni halali yake wachaaa nimempenda Mtoto wa kihindi huyooooooooooooooooo
 
Mkuu Ab-Titchaz Asante kwa kunikandia mimi ni mrefu fut 1.78 nina wa kilo 80 nina mwili mzuri au kwa lugha ya kiingereza Handsome boy nina miaka miaka 45 sasa huyo mwanamke hanifai kuwa mpenzi wangu?

Nimeikubali CV yako mkuu na inafaa.
Kazi kwako.
 
Ngoshwe huyu naye anahitaji kupendwa; angalau ungempa salam tu kwani aliyekuumba wewe ulivyo ndiye aliyemuumba yeye na bado anaendelea kuumba.
 
Haswaaaaa!

Upo wakati nilikutana na binti kwenye daladala (Mwenge- Mikoroshini).Hakika nilivutika kwake kweli kweli na kulazimisha kukaa karibu nae lakini sikuweza, daladala lilishona, nikawa nimesimama mbali. Nikajipanga moyoni nifike mpaka atakaposhukia. Hapo naishis Kimara Mwisho, lakini nikajikuta nimefika Buguruni chama.

Binti aliposema "konda shusha hapo", kwa kuwa nilikuwa karibu na mlango nika "drop faster", mashalaah, aliposhuka, nikaishiwa nguvu hata ya kuendelea kumtimzama, nikamhurumia (miguu yake yote haifanyi kazi kabsaaa, anatembelea magongo). Nikageka kuvuka ng'ambo ya pili ya barabara kuchukua daladala la kunirejesha tena Ubungo huku moyoni nikimsifu "Bwana wa Majeshi" kwa uumbaji wake!....

Wasiwasi wako tu, cha msingi reception ikika sawa yatosha. Mambo mengine kwani yanaonekana mkiwa busy? Mtu mmoja alinionya usithubutu kupakuliwa cha kilema anayetembelea magongo, utamg'ang'ania kama luba, wanakarangiza sana. SIjathibitisha.

Leka
 
Hee! kumbe mhindi? hawataki ngozi nyeusi, labda wahindi wa kiume wanaosarandia dada zetu. Uuuuwi!
 
Haswaaaaa!

Upo wakati nilikutana na binti kwenye daladala (Mwenge- Mikoroshini).Hakika nilivutika kwake kweli kweli na kulazimisha kukaa karibu nae lakini sikuweza, daladala lilishona, nikawa nimesimama mbali. Nikajipanga moyoni nifike mpaka atakaposhukia. Hapo naishis Kimara Mwisho, lakini nikajikuta nimefika Buguruni chama.

Binti aliposema "konda shusha hapo", kwa kuwa nilikuwa karibu na mlango nika "drop faster", mashalaah, aliposhuka, nikaishiwa nguvu hata ya kuendelea kumtimzama, nikamhurumia (miguu yake yote haifanyi kazi kabsaaa, anatembelea magongo). Nikageka kuvuka ng'ambo ya pili ya barabara kuchukua daladala la kunirejesha tena Ubungo huku moyoni nikimsifu "Bwana wa Majeshi" kwa uumbaji wake!....

Kweli mkuu hapo ulokosea. Yaani umemlia chocho mpaka Buuguruni chama ukaondoka hata bila kumsalimia? Inaonekana ilikuwa tamaa tu maana mapenzi ya kweli hayachagui.......
 
Back
Top Bottom