GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na kama Mtu ambaye nimejiandaa kuwa Mtetezi wa Serikali pale Mvua za El Nino zikianza ni Mimi GEBTAMYCINE.
Tokea Mwezi wa Tano ( May ) au wa Sita ( June ) Serikali kupitia Media mbalimbali kila Siku imekuwa ikitoa Tahadhari kwa Wananchi ( hasa wa Mabondeni Kuhama ) ila nasikitika kusema kuwa 95% yao wamekuwa na Viburi na hawajahama au hata tu basi kuchukua tahadhari ya Kuboresha Miundombinu ya maeneo yao husika.
Na kama kuna eneo ambalo GENTAMYCINE nalivizia Kuliangalia hasa Mafuriko ya Mvua za El Nino zikianza ni lile la Bondeni ( Shoko ) Kawe ambapo kuna Mchungaji Mmoja Tajiri wa Kisukuma Nyumba yako ni Pua na Mdomo na Mto Mbezi na Boya / Pimbi mwingine nae upande wa Pili Nyumba yake iliharibiwa vibaya na Mvua Kubwa ya miaka Mitano iliyopita kiasi cha hadi Kubomoka na cha Kushangaza badala ya Kuhama hapo kama alivyoshauriwa Yeye kaamua Kuikarabati upya na Kuishi japo Mwenyewe hukiri kuwa akiona tu Wingu limetanda Angani anakosa Usingizi kwakuwa anajua ikishuka tu Mvua ya maana yenye Mafuriko Ndugu zake wataenda Kumuokotea katikati ya Bahari ya Hindi akiwa na Boksa yake Kuu Kuu ya ADIDAS.