Salahan JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,963 Reaction score 3,685 Feb 12, 2016 #1 Unashangaa nini ndio nishaamua mwenzenu nimejichanga na pesa za kudunduliza kwa mwaka mzima sasa ndio nimeamua kufungua hazina hii. Sasa sijui nile bata na my valentine au ndio niongeze mtaji. Ila biashara yangu haihitaji pesa nyingi coz mimi ni muuza shanga na mpamba kucha. ENYWAY acha wanitambue valentine hii samakisamaki moroe by muuza shanga.
Unashangaa nini ndio nishaamua mwenzenu nimejichanga na pesa za kudunduliza kwa mwaka mzima sasa ndio nimeamua kufungua hazina hii. Sasa sijui nile bata na my valentine au ndio niongeze mtaji. Ila biashara yangu haihitaji pesa nyingi coz mimi ni muuza shanga na mpamba kucha. ENYWAY acha wanitambue valentine hii samakisamaki moroe by muuza shanga.
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,229 Reaction score 13,442 Feb 12, 2016 #2 Kula raha kufa kwaja
Mzimu wa Kolelo JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 2,790 Reaction score 8,330 Feb 12, 2016 #3 bols uongeze mtaji tu kwa haya majipu yanavyotumbuliwa sidhani lm mwaka huu utaweza kufikisha kiasi hicho tena mana tumbua tumbua na wewr imekupitia shauri yakooo
bols uongeze mtaji tu kwa haya majipu yanavyotumbuliwa sidhani lm mwaka huu utaweza kufikisha kiasi hicho tena mana tumbua tumbua na wewr imekupitia shauri yakooo
Kaveli JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 5,443 Reaction score 8,903 Feb 13, 2016 #4 Sumaku hiyo... a.k.a uchawi wa kizungu! Nenda kajenge heshima Bar, afu kesho mornie ukakope supu kwa mama ntilie.
Sumaku hiyo... a.k.a uchawi wa kizungu! Nenda kajenge heshima Bar, afu kesho mornie ukakope supu kwa mama ntilie.