BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Wakuu poleni na majukumu.
Kuna Mambo ambayo kwa uelewa wangu mdogo nimeshangaa yanatokea Tanzania tu, sijui kwa nchi zingine
1. Fine za barabarani
Bodoboda na bajaji ndio wanaoongoza kuvunja sheria, ila eti kwa vile ni vyombo vidogo, eti vilipunguziwa fine hadi elfu 10. Kwani tunaangalia ukubwa wa chombo au utendaji wa kosa
2. Tunajenga reli ya mwendokasi kupita Morogoro, halafu tunataka kujenga njia ya magari kwenda kasi Hadi Morogoro, hii sijaielewa Hadi Sasa
3. Kila bajeti mpya, asilimia kubwa ya vitu vinaongezwa Kodi, ili kuongeza mapato. Kwa hiyo mawazo yetu yapo kupandisha tu Kodi ili yaongezeke, kwani tusiwaze kuanzisha vyanzo vipya
Naumia sana
Kutoka
Changoko-Same