Haya ndio maboresho ya Mtaala wa Elimu yanayoenda kufanyika Tanzania katika jitihada za kuboresha Elimu

wangefanya lugha ya kufundishia iwe kwa lugha ya kiswahili kwa ngazi zote za elimu na kwa shule zote iwe binafsi ama serikali. maana kuna msemo unasema FIKRA SAHIHI HUJA KWA LUGHA SAHIHI....... lugha sahihi kwa Mtanzania na Muafrika ni Kiswahili......... tukifanya hivyo tutafika mbali sana kama taifa!
 
Mimi binafsi sijajua ni Kwa Nini serikali inalazimisha lugha ya shule ya msingi iwe kiswahili

Maana mambo yote yanaharibikia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…