Haya ndio madhara ya kuajiri watoto kwenye taaluma

Haya ndio madhara ya kuajiri watoto kwenye taaluma

Yupo humble sana. Hukuti ana kashfu wengine. Hata kama utani atatania bila kukashfu. Akipitiwa anaomba radhi
Una uhakika Kama hakashifu wengine au ubongo wako umejaa makamasi unashindwa kabisa kufikiria ahmedy anayoyaongeaga kuhusu yanga.
 
Kwa bahati mbaya katika ushabiki wangu sijawahi kuwakubali hawa wanaojiita wasemaji. Ila hii vdeo imeonesha kuwa hawa bado ni watoto kiakili.
 

Unajiuliza hawa ni wawakilishi wa timu kwenye umma au ni vibonzo?! Hapa wanahojiwa na mwana habari, lakini wanajibu upuuzi
Hujawaelewa vizuri - kuna hoja ndani ya hayo maneno.
Kwanza wananukuu maneno ya mpinzani wao
Pili wanasema hatapata nafasi ya kuwakimbiza - kucheza attacking footbal bali atakimbizwa yeye nk.
 

Attachments

  • 933DC334-ED08-4363-9917-663AF3E3AC7E.png
    933DC334-ED08-4363-9917-663AF3E3AC7E.png
    269.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom