Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Kuna watu wakuepukwa na moja wapo ni wale ambao kila kwenye kosa wao wanatafuta kuonekana si wahusika hata kama ni wahusika.
MADHARA YA UKARIBU NAO NI HAYA:
1.Watakubambikizia makosa yao kila kwenye kosa lao wanatafuta namna ya kujiona wao hawahusiki na hata kama wamehusika ni kwa bahati mbaya ila wewe ni makusudi.
2.Hawajengi uhusiano bali muda mwingi ni kulalamika tu , Iwe ni urafiki ama uhusiano hawa muda mwingi ni kulalamika tu ili kuvuta hisia za watu waonekane wao ni wakamilifu kwa 100% ila wanaonewa tu.
3.Huwa hawabadiliki hawa kwa sababu hawajifunzi kupitia makosa yao, Usitegemee mtu huyu ipo siku atajifunza kupitia makosa yake kwa sababu anajiona sahihi tu hivyo kwenye kosa lake atakulaumu wewe.
4.Sahau mtu huyu kuomba msamaha hivyo si wajenzi wa urafiki, Ukiwa na mtu huyu jiandaye kuomba msamaha wewe kwenye kila kosa yake.
5.Mambo yao yanaharibika ila wao hawajali kwa sababu wanajiona wapo sahihi, Hawa watu ukiwa na mpango nao kwa asilimia kubwa mtafeli kwa sababu hawakubali kukoselewa .
#Mitandaoni Fikia Ndoto zako.
#Mwanasayansi Saul kalivubha