Haya Ndio Magari ninayoyakubali sana

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Haya ndio magari ninayo yakubali kuliko magari yoyote iwapo ningekuwa nina mihela kwenye yadi yangu yasingekosekana.Ninapenda magari mapana yenye body kubwa na pia yale imara na magumu ambayo yapo toka enzi kama Landrover 109 na 110

1)Landcruiser vx au gx




2)Landcruiser Hard top




3)Nissan Patrol



4)Range Rover


5)Land Rover 109

Gari ni ngumu,imara na inafaa sana kwa kazi hasa kwenye rough road,bora niwe na hii kuliko Kirikuu.

6)Landrover 110



Haya ni baadhi tu ya magari ambayo kwangu nayaona ni the best.Pia yapo magari mazuri ya kifahari lakini siyakubali miongoni mwa magari hayo ni prado,benz,BMW,Rolls Royce na mengineyo.Hata Hutu tugari twingine tuToyota tulitojaa kila sehemu situkubali,kuna magari hata ningekuwa na hela siwezi nunua.

Na wewe weka orodha yako ya magari ambayo unatamani kuyamiliki.Maisha yenyewe ndio hayahaya tufanye tu kutamani vitu hivi hata kama hatuna uwezo
 

Mi naukubali usafiri wetu huu hapa, siku hizi tunaufunga Jet engine!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Mercedes benz g-wagon.
Nasubiri nivune shamba langu la miti hapa Sao Hill.
 
Du
View attachment 1643881
Mi naukubali usafiri wetu huu hapa, siku hizi tunaufunga Jet engine!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Du jamaa hiko ndio kinaweza kuwa chombo cha moto na damu chenye kasi zaidi duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…