Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha 🤣🤣🤣 gari ya nyongeza hiyo mkuu imevunja record ya mauzo hapa tzIST ni kama gari la taifa, hayawezi kupita magari matano barabarani bila kuona ist ya silver
Harrier umeicha wapi1. Prado (ubora na wingi)
2. Subaru (ubora na wingi)
3. Rav4 (wingi)
4. Vitz (wingi)
5. IST (wingi)
Usichanganye bajaji na IST, IST ni gari.
Labda mkoani huko dar vits hazipo barabarani1. Prado (ubora na wingi)
2. Subaru (ubora na wingi)
3. Rav4 (wingi)
4. Vitz (wingi)
5. IST (wingi)
Usichanganye bajaji na IST, IST ni gari.
Cha kushangaza hizo nyingine hakuziita Toyota.Duh! Hapo kwenye Subaru unamaana gani? Ni sawa ma mtu aseme hivi ndio vinywaji pendwa zaidi, Kilimanjaro, bia, safari lager n.k. Umeelewa??
Ndio hapo sasaCha kushangaza hizo nyingine hakuziita Toyota.
Kwanza aliyegundua IST peponi moja kwa moja💪1. Prado (ubora na wingi)
2. Subaru (ubora na wingi)
3. Rav4 (wingi)
4. Vitz (wingi)
5. IST (wingi)
Usichanganye bajaji na IST, IST ni gari.