Haya ndio maisha ya Ngassa Bondeni

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Jana akabidhiwa nyumba safi na usafiri mpyaaaaa!!!!
Picha moja wapo mrs Ngassa akiwa jikoni akiandaa maakuli huku mr Ngassa akiwa kajipumzisha sofani.
 

Attachments

  • 1.jpg
    51.7 KB · Views: 1,801
  • 6.jpg
    80.2 KB · Views: 1,814
  • 4.jpg
    36.7 KB · Views: 1,774
  • 2.jpg
    28.7 KB · Views: 1,788
Jamaa mjanja, sana. Kachukua mkewe yupo nae,
 
wasije waka mchinja tu, maana hao wazulu kwa kuchinja hawajambo
 
Itamfanya avimbe kichwa saaaana na kuathiri performance yake uwanjani
 
Tanzania tulishindwa kumtunza mwache Mungu amoe stahili yake kutokana ba jitihada zake na fani yake.
Waafrica chuki,ubaya ndio tunajua.
 
Amechelewa sana, hata hivyo Mungu amsaidie ili aujutie ujinga wa kung'ang'ania mpira wa kibongo.
 
ngasa bingwa waku oa iv ameindka na wake zake wote wa 3...?!!! kuptia uyu kijana naanza jifunza kuwa mapenzi aya athiri mpira(kiwango)
 
Hapo soon tutasikia ameoa mwanamke mwingine wa kizulu maana jamaa kwa kuoa huyu kama ana undugu na yule King wa taarab
 
Yaah ni kweli wanaosema kachelewa hayo maisha angeyaishi miaka minne nyuma ila iwe fundisho kwa wengine kuwa mpira na umri.Tumtakie mafanikio na kujitambua pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…