Haya ndio majibu ya ommy dimpoz baada kupima h.i.v hapo jana..

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963








Hii Ndio Post Yake kwenye Instagram Ya Star Wa Single Mpya 'Tupogo' Ommy Dimpoz Kuhusu Kupima HIV Na Kuamua Kuto Uza au Kununua Mechi Tena.
Kwenye Interview ya simu niliyo fanya nae leo, Ommy ameniambia hizi ndio sababu za yeye kupima H I V


  1. Kujua Afya ili ujilinde na uwe mtu bora.
  2. Kukinga wengine baada ya kujua afya yako pia ni muhimu.
 
Hii ilipaswa kuwa binafsi si lazima sana!
 
kama yuko Negative si tufanyaje........

aendelee kutunza hilo Dushelele lake
 
ina maana lisa jensen na yeye yuko negative

safi sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…