Haya ndio majina ambayo huwa siyapendi

Point ni IPI hapo sasa??? Watanzania tuna kasumba moja hatuna constructive ideas kazi yetu ni kuhalalisha alichokisema mwingine , hatuwezi kujenga taifa kwa style hizi
1.nani huyo aliyekisema Mimi nikakialalisha kwa maandishi hapo au unamaanisha mchungaji gwajima alichokisema ndio Mimi nimekialalisha mkuu.

2.hembu fafanua zaidi hapa mkuu unataka constructive idea katika jukwaa la chit chat

3.Je unatembelea majukwaa yafuatayo
-jukwaa la elimu/lugha
-jukwaa la siasa/sheria
-jukwaa la intelligence/international
kama ndio ulishawahi kuona wanajadili ujinga mkuu.

4.Je ungependa chit chat tuwe tuna discuss nini zaidi ?
 
Silly post.
Admin hizo post sometimes futilia mbali
1.usiunganishe mada zingine na hii mada hivyo basi unatakiwa kuandika kama ifutavyo hapo chini
"mode mada kama hii haipaswi kujadiliwa hivyo basi inapaswa kufutwa " na sio "admin hizo post sometimes futilia mbali"

2.Je ungependa chit chat tuwe tunajadili nini zaidi kwa maoni yako kama hii post ni ya kipumbavu.

3.maoni yako ni muhimu mkuu ili nijue kipi kinapaswa kujadiliwa humu chit chat.
 
1.Hebu tupe ushauri tuwe tuna jadili nini huku chit chat ukiambatanisha na mifano ya mada za invisible pamoja na mada za mzee mwanakijiji.

2.ukishindwa kuleta hata mada mbili za mambo ya muhimu ambazo mzee mwanakijiji alikwishawahi kuzileta katika jukwaa la chit chat ujue wewe ni kama mkia ambapo mtu akisema hivi wewe unadakia.
 
Stupid post ever

Ifike pahala moderators wawe wana wana set some questions za kupima uelewa kabla ya kuwaruhusu wapuuzi kama mleta mada
mmmh! nyani yule haoni mnyelo wake!
 
Hivi kumbe mkia hwa unazungumza. Sikujua.
 
Stupid post ever

Ifike pahala moderators wawe wana wana set some questions za kupima uelewa kabla ya kuwaruhusu wapuuzi kama mleta mada
Amini amini nakwambia siku mods wakianza kufanya hivyo hakuna post yako itasomwa humu jamvini aisee
 
Nipooooo dah muhumini wangu i miss you alot, nashinda sana kwenye jukwaa la dini karibu sana kwenye upako
hahahah fakalava juzi aliniambia una kigango chako baba paroko
 
hahahah fakalava juzi aliniambia una kigango chako baba paroko
Wewe shunie na fakalava tu ndiyo mlinishinda kuwaleta kwenye kigango changu ila nawapenda sana, ipo siku mtakuja tu najua,
 
Wewe shunie na fakalava tu ndiyo mlinishinda kuwaleta kwenye kigango changu ila nawapenda sana, ipo siku mtakuja tu najua,
hahahahh tunakupenda pia baba paroko kwahiyo kule kwenye jukwaa pendwa umetoka mazima
 
hahahahh tunakupenda pia baba paroko kwahiyo kule kwenye jukwaa pendwa umetoka mazima
Jukwaa pendwa naingia kuwatafuta wahumini, ili niwakomboe, ila nyie shunie ndiyo mnanipa kazi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…