Haya ndio Majina maarufu zaidi duniani

Mwajuma halijaingia humooo [emoji3]uzi ni batil [emoji23][emoji23]
 
Jina YESU Ni Jina Takatifu Sana Ni Jina La Mwana Wa Mungu Ambaye Ni MUNGU pia Maana Ukimuona Yesu Umemuona MUNGU Tayari Mimi Hilo Jina La YESU Naliheshimu Maana Ni Jina La Mungu (Sasa Unaanzaje Kumuita Mtoto Wako Yesu Jina Zito Sana Hilo [emoji23])
Mi nikategemea Yuda (japo sio msaliti😁) utakuwa wa kwanza kufanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…