Haya ndio Majina maarufu zaidi duniani

Akina Juma hawahusiki kwenye huu utafiti
 
Ni sahihi kbsa Wala ckupingi mkuu wangu wegner
 
Nilipo ona jina Fatuma/Fatma alipo nikajua tu.hii ni list ya uongo
 
Waliyahesabu lini?
 
Jina YESU Ni Jina Takatifu Sana Ni Jina La Mwana Wa Mungu Ambaye Ni MUNGU pia Maana Ukimuona Yesu Umemuona MUNGU Tayari Mimi Hilo Jina La YESU Naliheshimu Maana Ni Jina La Mungu (Sasa Unaanzaje Kumuita Mtoto Wako Yesu Jina Zito Sana Hilo [emoji23])
kwaufupitu nikwamba huwezi kumuita mwanao Mungu.
 
Jina lako halisi la Kikafiri (vyeti vyako vya primary) ni nani?
Jina halisi la kikafiri ni ABU LAHAB[emoji23][emoji23]

Unataka kujua na majina halisi ya kikafiri ya wazazi wangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…