Pre GE2025 Haya ndio majina matatu ya wanachama wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua akimwaga mboga anamwaga ugali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
2020 kunahija siikumbuki ila Kafulila alimchanachana sana Lissu kama mgombea Urais wa CHADEMA
 
Sahihi kabisa,

Kwenye Siasa huru kama hizi,

Hoja hujibiwa kwa hoja,

Ni wakati wa Chama changu cha CCM kuandaa dawati la Mapambano na hawa CHADEMA.

Lissu na wenzake wanahitaji kupelekwa kihuni zaidi.
 
Kwani Zitto chama chake kinashambuliwa
Daaa umezaliwa mwaka gani,wewe

Kwa ufupi ,mkuu wa chama cha act alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali ya mapinduzi zanzinzibar alitimuliwa wakati wa bunge la katiba kwa msimamo wa serikali tatu ,na mwenyekiti kamati zao alikuwa samia hasani leo Rais wa jmt ,kwamdogo wetu kafulila nasemaje sikumtaja kwakuwa sivema kumfananisha eti akapambane na lisu , na ukizingatia ni mwalimu shule ya msingi kasulu
 
Aisee kumbe kichwani mweupe hivi???!!!! Hili jukwaa siyo level yako.
 
Duu
 
Kabudi wa bunge la katiba na Kabudi wa Leo ni tofauti.
Kabudi wa bunge la katiba: "Muungano unakasoro, haufai kuitwa muungano. Kuundwe Serikali tatu".

Kabudi baada ya kulamba teuzi (Serikali ya Magufuli): "Muungano uko sawa, isipokuwa Kuna changamoto Ndogo Ndogo sana".

Hao ndiyo wanasiasa, wanabadirika kulingana na upepo.
 
Tehetehe, umetaja takataka mbili za chini, huyo mwalimu wa family law tumuache kwanza, sijui kama mkewe amepona miguu
 

..wanaoweza kumjibu Lissu kuhusu muungano ni Waznz kama Othman Masoud, Ismail Jussa, na Wakili Awadh.

..tatizo ni kwamba hoja za hao jamaa zinaitetea Zanzibar, na kukandamiza zaidi Ccm.

..Hoja za Lissu haziwezi kupingwa na Mtanganyika yeyote yule akaeleweka.
 
Hakuna kitu hapo!
 
Hao wangeweza kujibu hoja za Lissu kama wangekuwa nje ya CCM! Asikwambie mtu,ukishajiunga na CCM hata kama unaujua ukweli huwezi kuusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…