Pre GE2025 Haya ndio majina matatu ya wanachama wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua akimwaga mboga anamwaga ugali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anayeweza kupambana na lisu ni makonda tu, jalala haeleweki, polepole sawa ila alishakatwa mkia, kafulila hajulikani
 
"Any fool can tell the truth,but it requires a man of some sense to know how to LIE well"😅
Sasa sijui nnan anauwezo wa kudanganya vzuri aje aseme Tanganyika iko wapi?
 
Hakuna hata Mmoja anayeweza kujibu hoja za Lissu either ziwe za kihuni ama za kisomi kati ya hao uliowataja wote Wana uwezo mdogo sana Kwa LISSU.
 
kama sijaona jina la makonda hiyo research yako ni null and avoidable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…