Haya ndio majina ya ajabu zaidi JF

Haya ndio majina ya ajabu zaidi JF

Meja M

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
628
Reaction score
560
1.Gatekalii
2.Supermarket
3.To yeye
4.Leo.Leo
5.Balibabambonahi
6.Pharmacology
7.Shamkware
8.Asprin
9.Kedekede
10.Cheka upigwa
11.Tunakodisha Bunduki
12.Ice man 3D
13.Nimpende nani
14.Kitumbikwela

Ongeza na wewe uliloliona ni la ajabu zaidi
 
1.Gatekalii
2.Supermarket
3.To yeye
4.Leo.Leo
5.Balibabambonahi
6.Pharmacology
7.Shamkware
8.Asprin
9.Kedekede
10.Cheka upigwa
11.Tunakodisha Bunduki
12.Ice man 3D
13.Nimpende nani
14.Kitumbikwela

Ongeza na wewe uliloliona ni la ajabu zaidi
Upendeleo tu,Lizaboni lin uzur gani?
 
Supermarket jina zuri tu mkuu eg. Mlimani city, tsn, uchumi na Nakumatt
 
mkuu ukishafanya huo utafiti wa nude names ,maomba ufanye na wale wenye post za ovyoo na za shombo, yani anaanzisha Uzi wa hovyohovyoo tuu

MTU heading anaandika "nimebakwa" ukiingia ndani usome anauza vipodozii......!
 
Back
Top Bottom