Haya ndio majina!

libidozy

Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
56
Reaction score
3
Baadhi ya Watanzania wanadai eti wah.Kabaka na John Pombe Magufuli ndio mawaziri wenye majina mabaya duniani,ebu angalia listi ya mawaziri wa nchi za wenzetu halafu mlinganishe na akina Pombe na Kabaka. David Kinembe(Miundombinu-kenya),James Kakuma(Biashara -Zambia),Akaja Akatomba(Nishati-Ghana),Nalia Namboo(Sheria-Botswana),Antonie Chipumbu(Fedha -Msumbiji),Chirambo Kafirwa(Mazingira-Malawi),Rozia Kamkundu(Kilimo-Zimbwabwe),Jaqueline Natombeka(Utamaduni- S/Africa) na Kazakuku Firafisi(Mipango-Japan).Ebu fananisheni majina hayo na haya ya kwetu Tz.Byeeeee
 
Kwi, kwi, kwiiiiii! Nimecheka sina hamu mpaka mbavu zinauma. Hakika majina haya yanatisha japo hatujui katika lugha za wahusika yana maana gani. Ila kwa kiswahili yanachekesha sana. Mambo yako Nishati - Ghana! Hongera kwako mtafiti. Umefanya kazi kweli
 


Mkuu malizia hapo kwenye Chirambo Ka*****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…