Defensive mechanism hata tukitafutana tupate walau neno moja la kujitetea neno la matumaini nch ishachafuka hiii maafisa wako busy wananusa nusa mtaan nan ananukiaMaandamano yoyote yatakayohusisha makund haya ni hatar sanaaa kwa taifa nje ya hapo sio tishio kunakua hakuna mobilizing movement ya haraka. Hayo makund yanaweza kujiorganize ndan ya saa moja nch nzima .