1 👉Usiweke ndugu kwenye biashara ndugu wanaweza kuwa chanzo cha kukumaliza na kama utaweka ndugu basi fungua kampuni in form(active partnership) Kila mtu awajibike kwa loss za kampuni Kila mtu awe na share zake il nidhamu iwepo maana mtu ukimuajiri hawezi kujua uchungu wa wewe Kula hasara au kupoteza wateja sababu yeye cha kwake mwisho wa mwezi ni uhakika
2.👉usiweke mipango mingi ambayo huwezi kuisimamia lazima Utakula hasara mfano kufungua biashara sehemu 10 tofauti bila usimamizi mzuri(wewe kuwa mbali) kisa tu hela unazo
3.👉Ikitokea Biashara ikafanikiwa ghafla Bila wewe kutegemea usitapanye fedha kisa una amini kesho zitarudi. Kuendekeza anasa kunamaliza fedha
4.👉mshirikishe Mungu awe mlinzi wako kwenye biashara yako (sentesi imeeleweka)
5.👉process ya kuingia kwenye utajiri ni ndefu sana lakini process ya kuwa maskini inaweza kuwa Ata dakika moja tu
6.👉Jitahidi kuwa na kiasi pesa zisikutawale ukahisi umemaliza Kila kitu
👉Ni hayo tu kwa leo. Kazi iendelee.