Haya ndio mambo yanayofanya Tanzania hiwe kinara nchi za wasio na furaha

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau..!
Kiukweli wa Tz tuna mzigo wa mambo mengi yanayotafanya tukose furaha mpk mda mwingine unatamani utoweke hapa duniani.

Mfano siku kama ya leo au kipindi kama hiki unakuta kijana kamaliza chuo miaka inaenda hana mchongo ,kijana huyo huyo unakuta ni mshabiki wa mpira wa miguu mpenzi wa Arsenal au Azam au kwa siku ya leo unakuta kunajamaa shabiki wa Simba na Platinum ndio vile tena.

Kijana huyo huyo unakuta katapeliwa na Q-net na ana kademu huko buza na sikukuu zinakaribia demu anataka kijora.

Nimewaza sana ila kwa nini kijana huyu asipate na stress bangosha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hiwe ndio vitu gani?
 
Hiwe ndio vitu gani?
Mwalimu wa kiswahili uliyekataliwa na mfumo wa Tamisemi ,umeona bora bachelor yako ya kiswahili angalau uje uitumie Jf kabla haija expireπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…