all about
Member
- May 28, 2022
- 69
- 103
Hello my jf friends[emoji112] hii ni thread yangu ya pili nabandika hapa jukwaani lakini sio kwamba niko expert sana kwenye haya mambo ila ni passion tu ndo inanisukuma pia napenda kushare kama nilivyojitambulisha kule kwenye jukwaa la wageni niko na hobby zingine mbalimbali hivyo mtalajie mengi tu [emoji4]
ok let's go......
1. INATUMIKA NA VYOMBO VYA HABARI VIKUBWA DUNIANI VIKIWEMO BBC SWAHILI, DW SWAHILI NA SAUTI YA AMERIKA.
2. IMEKUWEPO TANGU KALNE NA KALNE.
Katika maeneo ya makumbusho kama vile Kilwa yapo maneno ya kiswahili yaliyoandikwa kwenye makalatasi tangu mwaka 1711 maneno hayo yenye hasili ya kiarabu yamewekwa huko India katika mji wa Goa kama moja ya makumbusho
3. KINAONGELEWA KATIKA NCHI NYINGI:
Nchi zifuatazo zinazungumza kiswahili:
Tanzania
Ni ukweli husiopingika kwamba kiswahili ni mchanganyiko wa lugha nyingi ambazo ni kubwa Duniani kama vile kingeleza kiarabu na kireno, kwamfano neno swahili kwa kiarabu ni watu kutoka pwani "of[peaple] the coast" pia neno "meza" (table) kwa kireno huitwa "mesa".

Kenyakiswahili na kingeleza
Ugandakiswahili na kingeleza
Rwandayuganda, kingeleza na kiswahili
Burundikinyalwanda kingeleza kifaransa na kiswahili
Afrika kusiniKirundi, kifaransa kingeleza na kiswahili
Demoklasia ya Kongokiafrikana kingereza na kiswahili
MsumbijiKifaransa kingereza na kiswahili
ZambiaKireno, kingeleza na kiswahili
Malawikingereza na kiswahili
Komolokingereza na kiswahili
Somaliakikomolo kifaransa kingereza na kiswahili
4. NI LUGHA AMBAYO IMAZALISHWA KUTOKA KATIKA LUGHA ZINGINE KUBWA DUNIANI:kisomali, kiarabu na kiswahili