Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
- "Serikali ya Tatu itategemea michango toka Serikali mbili, kuna uwezekano wa Serikali ya Tatu siku moja kukosa pesa za kujiiendesha kwa vile haitakuwa na Rasilimali, hata tume ya Rasimu imeshindwa kusema Serikali ya Tatu itatoa wapi pesa za kujiendesha" - BY JK
Le Mutuz
Nikae kimya wakati unakunya sebuleni?- Unajua sometimes ukinyamaza unaweza kuonekana una akili sana kuliko kujivua nguo namna hii, sasa unapingana na nani hapa Mwalimu au mwenyewe maana maneno ni ya Mwalimu, yaani hawa Great Thinkers wengine kweli ni shidaaa!!
Le Mutuz
- Mkuu hebu rudia tena unasema nini hasa? Wapi umeshindwa kuyaelewa haya maneno mbona yapo very clear na to the point, au?
Le Mutuz
- Mkuu punguza hasira maneno ya Mwalimu hapa mimi sijasema kitu, kama unataka pingana na maneno ya Mwalimu Baba wa Taifa kama alivyofanya Warioba, usinilaumu mimi hapa sijasema anything punguza hasira haya sio maneno yangu kaka ni ya Mwalimu!1
Le Mutuz
- Kaka punguza hasira haya maneno sio yangu sasa pingana basi na Muasisi wa Muungano aliyesema sio mimi ndugu yangu, vipi maneno yanawasuta haya ni mazito I know, ha! ha! ha!
Le Mutuz
Naunga mkono hoja. Huyu le mutuz ni kichwa nazi kabisa
Kitendo cha zanzibar kuwa zanzibar na tanganyika kuwa tanzania ndio kimezaa kero kubwa ya muungano maana ardhi ya znz ni ya wazanzibar na ya watanganyika ni ya Tanzania.