1 rais aondolewe kinga 2tume ya uchanguzi iwe huru 3waziri wasiwe wa bunge 4 igp mkuwa jeshi wasiteuliwe na rais 5mtu akishikwa na sembe kifo ongezea na yakwako
Ubarikiwe, ila kadiri uendeleavyo kuitumia ndivyo utakavyojua matuwizi yake (Jf). Ila jitahidi walau na kupitia lile daftari la Mwandiko wakati unafunzwa Kuandika, hii ni kwaajili ya kukuweka sawa katika maandishi. Mengine wataongezea wenzangu.