Haya Ndio Mapenzi or I'm Tripping??

Mungu anisaidie,i just hope you are not my daughter,maana nahisi wanangu wameanza kuingia humu,uuuuuuuuuwwwwwiiiiii,rua yesu na maria.

Kasaidie basi kadada kanaomba muongozo, mie hichi kiinglish cha kina shaggy kimenitoa nishai!!! LOL
 

sijakuelewa,mimi ni Maimuna
 

mnh achana naye,asije akaharibu mashine yako wakati yeye ni wa kupita tu na sio mumeo.....
 
Real love it needed tym enough! B calm my dear, some couples started with so many sunction bt at the end of the dy wanakula BATA! mapenzi sio chumvi kwamba umetia kwenye mboga na hapohapo unakoroga na kulamba vimekolea! Jitume mpe ma'vitu adimu kua m'bunifu ktk love jamaa nafsi itamsuta, hv sisi wanaume basi tuna ujanja endelevu kwenu mkishatuvua suruali? Si lolote tu-wajanja tukiwa tumevaa lakini tunapokutana na wanaojua kuutumia ukike wake hua tunawekeza bwna asikudanganye mtu!
 
Nakujibu kwa uzoefu. Umekutana na player cum manipulator. And he don't care. Amua mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…