Haya ndio mapenzi ya kweli

Mtama

Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
63
Reaction score
0
Kiuhalisia kumpenda mtu kiukweli ni kumpenda bila masharti,hii maana yake ni kwamba umkubali kama alivyo,cha msingi ni kuangalia zile tabia ambazo haziwezi kuhatarisha maisha yako kama vile umalaya,kama hakuwa na tabia hiyo akaja kuwa nayo wakati tayari mko pamoja usimwache haraka,mwoneshe kumjali nae atabadilika.
 
kama hakuwa na tabia hiyo akaja kuwa nayo wakati tayari mko pamoja usimwache haraka,mwoneshe kumjali nae atabadilika.

Ati umesema nisimwache???
:nono:

:nono::nono:

:nono::nono::nono:

:nono::nono::nono::nono:

:nono::nono::nono::nono::nono:

:nono::nono::nono::nono::nono::nono:

:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:

:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:

:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
Dawa ya tabia kukaa mbali nayo tu...!
 

je kama anakibamia inakuwaje
 
Perfect!
 

hahahahaha, if you are blessed with that heart friend hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…