Afu hawana akili hyo ya kuongoza nchiHatari sana. Mambo mengi yatavurugika sana.
Traole kapigwa vikwazo gani bwashee na vip bukinafaso unaionaje,hawa wanasiasa hawatatuvusha hawa ni wabinafsiAfu hawana akili hyo ya kuongoza nchi
Afu pia watapigwa vikwazo zaidi na zaidi
Hizi ndo nchi zenye majeshi sasa !!Sisi la kwetu ni njaa na uchawa tupuTunaanza .
- Mali🇲🇱. August 18 2020 na 24 may 2021(counter Coup)
- Chad🇹🇩. April 2021
- Guinea🇬🇳. September 5 2021.
- Sudan🇵🇸.25 October 2021.
- Burkina Faso🇧🇫.23 January 2022 na September 30 2022(counter Coup)
- Niger🇳🇪. July 26 2023
- Gabon🇷🇼. August 30 2023
- Madagascar🇨🇱.october 12 2025
- Guinea-bissau🇬🇼. November 26 2025.
Hakuna kitu kama hicho! Traore unamwonaje?Afu hawana akili hyo ya kuongoza nchi
Afu pia watapigwa vikwazo zaidi na zaidi
Mwanajeshi atageuka kua mwanasiasa, ndio mwanzo wa kuongozwa kwa mkono wa chuma.sIpendi kabisa wanajeshi kuchukua nchi