Haya ndio mapokezi ya Tundu Lissu Jimboni kwake Singida Mashariki leo

Tundu Liissu mulikeni App za mikopo ya mitandaoni kwenye mikutano yenu..

Wapinzani kukala kimya hili jambo ni udhaifu mkubwa sana kwenu.

Wakati wabunge wa CCM wameongelea swala hilli Bungeni, nyinyi mnapaswa kufanya uchunguzi na kuongea yale ambayo wabunge wa CCM hawawezi kuyaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…