Haya Ndio Matokeo ya serikali dhaifu

Haya Ndio Matokeo ya serikali dhaifu

Kide

Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
74
Reaction score
15
Habari wana jamvi,

hapo mwanzo ilikua ni kitu kipya kuona serikali ikishindwa kuyatolea ufafanuzi masuala fulani yaliyojitokeza hapa nchini hadi kuitwa dhaifu.

Leo hii hadi taasisi zake zimefuata huo utaratibu au mfumo usio rasmi. Inashangaza sana kwa taasisi tena za elimu ya juu TCU/NACTE kushindwa kutolea ufafanuzi wa mkanganyiko katika suala la selection, hapo mwanzo waliwajuza vijana wetu kuwa wangewatolea hizo post tarehe 22/10 ila hadi sasa ni hali ya sintofahamu ikiendelea maana ni vyuo tena baadhi tu vimetoa hizo post.

Vijana wamebaki hawajua nini kinafuata hasa baada ya TCU kutoa tangazo la TRANSFER na utaratibu wake wakati zaidi ya 60% hawajua either wamechaguliwa chuo gani au hawajachaguliwa. Hali sio shwari hasa ukitembelea ukurasa wa NACTE facebook vijana wanaonyesha hali ya kuchoshwa na kukata tamaa.

Wengi wao wakijiuliza nini tatizo kwani waliaminishwa CAS ni mfumo mzuri na rahisi kudahili ila kwa hali ya sasa wanamashaka na hilo baada ya kujitokeza pia kwa Multiple selections.

TCU/NACTE tafadhalini kuweni japo professionals na mfano kwa taasisi zingine. Wapeni vijana taarifa rasmi wajue nini kinaendelea.

Ahsanteni.
 
You have said it all. TAARIFA MUHIMU HASA KWENYE HUU ULIMWENGU TUNAOUITA WA TEKNOLOJIA. Ya post hawajayakamilisha, wanatoa ya uhamisho - nitajazaje fomu ya kuhama endapo sina hakika hata ya kupangwa chuo.
Habari wana jamvi.....hapo mwanzo ilikua ni kitu kipya kuona serikali ikishindwa kuyatolea ufafanuzi masuala fulani yaliyojitokeza hapa nchini hadi kuitwa dhaifu.
Leo hii hadi taasisi zake zimefuata huo utaratibu au mfumo usio rasmi.Inashangaza sana kwa taasisi tena za elimu ya juu TCU/NACTE kushindwa kutolea ufafanuzi wa mkanganyiko katika suala la selection..hapo mwanzo waliwajuza vijana wetu kuwa wangewatolea hizo post tarehe 22/10....ila hadi sasa ni hali ya sintofahamu ikiendelea maana ni vyuo tena baadhi tu vimetoa hizo post.Vijana wamebaki hawajua nini kinafuata hasa baada ya TCU kutoa tangazo la TRANSFER na utaratibu wake wakati zaidi ya60% hawajua either wamechaguliwa chuo gani au hawajachaguliwa.Hali sio shwari hasa ukitembelea ukurasa wa NACTE facebook vijana wanaonyesha hali ya kuchoshwa na kukata tamaa. Wengi wao wakijiuliza nini tatizo kwani waliaminishwa CAS ni mfumo mzuri na rahisi kudahili ila kwa hali ya sasa wanamashaka na hilo baada ya kujitokeza pia kwa Multiple selections. TCU/NACTE tafadhalini kuweni japo professionals na mfano kwa taasisi zingine. Wapeni vijana taarifa rasmi wajue nini kinaendelea.Ahsanteni
 
umenena mkuu yani hawafanyi shughuli zao kwakuwasiliana,mfano halisi ni huu"
haiwezekani mtoto kwenye familia akawa na kauli kuzidi baba na mama ndani ya nyumba, baba na mama ndio wanajua mtoto atavaa nini na atakula nini kwahiyo wao ndio wanahaki na kanuni za kumpa muongozo mtoto huyu, ?kilichotokea hapa ni nini thatha, mtoto kuwa na kauli kuzidi baba yake na mama yake"
yaani vyuo vimekuwa na nafasi ya kutolea maamuzi yakujitangazia wanafunzi wake"hapa ni sawa na mtoto kuwa na kauli mbele ya baba zake na mama zake
ambao ni Tcu na Nacte!!
Na namalizia kwakumbuka usemi huu wa wahenga waliosema "kichwa cha nyoka habadani hakiwezi beba mzigo shekhe....
 
Habari wana jamvi,

hapo mwanzo ilikua ni kitu kipya kuona serikali ikishindwa kuyatolea ufafanuzi masuala fulani yaliyojitokeza hapa nchini hadi kuitwa dhaifu.

Leo hii hadi taasisi zake zimefuata huo utaratibu au mfumo usio rasmi. Inashangaza sana kwa taasisi tena za elimu ya juu TCU/NACTE kushindwa kutolea ufafanuzi wa mkanganyiko katika suala la selection, hapo mwanzo waliwajuza vijana wetu kuwa wangewatolea hizo post tarehe 22/10 ila hadi sasa ni hali ya sintofahamu ikiendelea maana ni vyuo tena baadhi tu vimetoa hizo post.

Vijana wamebaki hawajua nini kinafuata hasa baada ya TCU kutoa tangazo la TRANSFER na utaratibu wake wakati zaidi ya 60% hawajua either wamechaguliwa chuo gani au hawajachaguliwa. Hali sio shwari hasa ukitembelea ukurasa wa NACTE facebook vijana wanaonyesha hali ya kuchoshwa na kukata tamaa.

Wengi wao wakijiuliza nini tatizo kwani waliaminishwa CAS ni mfumo mzuri na rahisi kudahili ila kwa hali ya sasa wanamashaka na hilo baada ya kujitokeza pia kwa Multiple selections.

TCU/NACTE tafadhalini kuweni japo professionals na mfano kwa taasisi zingine. Wapeni vijana taarifa rasmi wajue nini kinaendelea.

Ahsanteni.

umeongea vizuri sana na umeelewa vizuri. Ila siku nyingine usiandike taasisi ukandani na TCU ni taasisi. TCU ni tume (commission, sio institute).
 
Hili suala lilikuwa linanikanganya sana. Ukiangalia CAS kuna profile ya muombaji ambapo walipaswa kutoa matokeo ya selection hapo kwenye profile lakini wamekaa kimya. Hivi sasa ukitaka kujua chuo ulichochaguliwa inabidi utafute jina kwenye vyuo vyote na kozi zote. Huu ni udhaifu mkubwa sana, tulitarajia kwa teknolojia ya sasa ingekuwa ni kuonesha matokeo moja kwa moja. Ni aibu kuona vyuo ndio vinatangaza majina na mlengwa wa kutolea taarifa amekaa kimya na wakati huko ndiko watu walipotuma maombi ya kujiunga na vyuo. Walipaswa watoe taarifa rasmi kwa mwanafunzi maana ni wajibu wao na haki ya waombaji
 
Back
Top Bottom