tibmanzenjj
Member
- Feb 26, 2014
- 18
- 4
Jombaa ungepita kimya kimya tu.Sasa hz kiislam na arabic ulisoma ...........
matokeo yangu ni haya hapa ,ushauri wako ni muhimu bila ya kubeza. CIV - 'B' HIST - 'D' GEO - 'C' E/D/
KIISLAMU - 'B+' F.ART - 'B' KISW - 'C'
ENGL - 'B+' ARABIC LANGUAGE - 'B'
B/MATH - 'F
matokeo yangu ni haya hapa ,ushauri wako ni muhimu bila ya kubeza. CIV - 'B' HIST - 'D' GEO - 'C' E/D/
KIISLAMU - 'B+' F.ART - 'B' KISW - 'C'
ENGL - 'B+' ARABIC LANGUAGE - 'B'
B/MATH - 'F
Hongera sana mdogo wangu, japo kwa alama ulizopata kuna watu wanakuponda usiogope kwani una sifa ya kusoma certificate ya mipango, sheria, biashara, ICT nk.Swala ni fedha tu, kama wazazi wako wapo safi utafanikiwa tu mpk degree utapata kupitia shortcut hii.Kumbuka huu uwanja ni wa Great thinkers hivyo ukiona jitu linakushauri pumba ujue kuwa hilo ni Low thinker.Nakutakia maandalizi mema ya kwenda chuo.
matokeo yangu ni haya hapa ,ushauri wako ni muhimu bila ya kubeza. CIV - 'B' HIST - 'D' GEO - 'C' E/D/
KIISLAMU - 'B+' F.ART - 'B' KISW - 'C'
ENGL - 'B+' ARABIC LANGUAGE - 'B'
B/MATH - 'F
Sasa hz kiislam na arabic ulisoma il uwe shehee?? endelea lbd ukasomee ualimu wa madrasa ukachinje watoto kama yule ndugu yenu.
Tafuta kozi yeyote ya muda mfupi kama jornalism, teaching n.k maana ungekuwa ulichukua masomo ya science ningekushauri ukasomee kozi ya mambo ya afya.
matokeo yangu ni haya hapa ,ushauri wako ni muhimu bila ya kubeza. CIV - 'B' HIST - 'D' GEO - 'C' E/D/
KIISLAMU - 'B+' F.ART - 'B' KISW - 'C'
ENGL - 'B+' ARABIC LANGUAGE - 'B'
B/MATH - 'F