Hata maprof wapo walioanzia cert mpaka wakafika huko. Kwa hiyo dogo kama umeamua hivyo ni sawa utafanikiwa tu! unapiga cert. mwaka m1 ukimaliza tu unaunganisha dipl. miaka miwili. Ukitaka sasa unaweza kwenda kwenye shahada ya kwanza ambako hata yule aliyeenda 5 utakuwa naye. kama atakuwa ameenda JKT mwaka m1 utasoma naye mwaka mmoja ama sivyo atakutangulia mwaka m1. Hivyo uamuzi wako uko sahihi tu!
hongera sana kwa kufaulu njia hiyo unayoitaka kuitumia wewe ni nzuri sana kwa watu waliosoma sayansi ambao wapo interested katika mambo ya health na engineering ila kwa kombi uliyosoma wewe mi nakushauri nenda advance!