Haya ndio Mazingira matamu yanayohamasisha ubunifu wa Kujiajiri nchini Marekani. Si Porojo za Siasa

Haya ndio Mazingira matamu yanayohamasisha ubunifu wa Kujiajiri nchini Marekani. Si Porojo za Siasa

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Baada ya tukio la wiki iliyopita kutokea kwa vijana zaidi ya 56,000 waliokuwa wakipambana kupata ajira 400 tu zilizokuwa zikitangazwa, kumetokea na kundi la ambalo binafsi nawaona kama watu wasiojielewa au wameamua kuwa wanafiki tu ( Kwa Tanzani unafiki uko damuni ) wanajaribu kuonesha kama vile vijana ni wavivu, hawafikirii, hawataki kujiajiri. Wakati huo mtu anayesema hivyo hajawahi kujiajiri na hivyo hajui chochote kuhusu kujiajiri. Hebu angalia wenzetu namna walivyojengewa mifumo ya kujiajiri

- Mfano, kwa US mtu yeyote mwenye idea au anayetaka kuanzisha Start-Up anaweza kuelekea "Silicon Valley, an OK TO FAIL start up zone na kujaribu kadri ya uwezo wake. Matajiri wenye funds pia hurusiwa kununua hisa kwenye startups wanazozipenda. Makampuni makubwa yaliyochipukia hapo ni Amazon, Instagram, Uber nk
- Ukiwa na wazo na huna mtaji kabisa, unaweza kuraise pia mfano hapa www.indiegogo.com na mfano wa waliopata ni hawa www.mvmtwatches.com
- Bidhaa zao wanaweza kuziuza dunia nzima, sisi hata PAYPAL hatuna !
 
- Kwetu hapa porojo nyiingi na siasa wakati

USAJILI wa Makampuni kwa graduates na vijana wengi gharama zake ni kubwa mpaka wengine wanaishia kuwa MACHINGA tu
- USAJILI wa TRADEMARKS gharama zake ni kubwa, Vijana wanaibiwa MAWAZO yao kila siku na hakuna msaada wowote wa kulinda INTELLECTUAL PROPERTY zao na
- Hakuna mfumo mzuri wa kodi kwa START UPS za ndani kama ilivyo kwa wawekezaji wa nje
 
Hao wanaowasema vijana vibaya wao wenyewe hawataki kutoka kwenye hizo ofisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani ya taifa hili siku za hivi karibuni UNAFIKI umekuwa sehemu ya maisha kabisa, nadhani ni kwasababu watanzania ni watu wanaopenda kuongea sana basi wanajikuta wanasema tu waonekane
 
Hivi tuulizane kuna incubators ngapi hapa Tanzania?

Je ipi yenye ufadhili wa kueleweka kiasi kwamba vijana hawa wakienda watapata msaada?

Kiukweli zaidi ya DTBI (nampongeza sana Mulamula) sijaona incubator ingine yyte ile yenye kueleweka

Cha ajabu Tirdo nilitegemea iwe ya kwanza kuwa ina incubate vijana hasa wa mechanical ila hola

SIDO hii sio incubator ila nawapongeza kwa jinsi wanavyo jitahd. Ila nao hawana kutofautiana na veta na cha ajabu zaidi wao hawa deal na innovations bali skills tuu.

Soon Kam wizara ya kazi na maendeleo ya vijana Kam wanaona umuhimu wa kuwa na centre for excellency kwenye almost Kila field.

Kwa mfano kama tunakozi za pharmacy, na chemical processing kwann basi tissue na hii centre af graduates waende pale wakaonyeshe ubobezi wao

Udsm, sua, nk nao wao na incubators ambazo zina function zisiwe za kisiasa. Hapo tutasaidia mengi sana kwenye swala la kazi

Wazo zuri lakini mtunga sera gani anafikiria hivi ??
- Wao wako busy tu kusema vijana wajiajiri, au wanataka wawe MACHINGA ?
 
Nyie diaspora muwe mnawasaidia wenzenu na sio kuwananga ,kama unajua na idea nzuri wasaidie wa tz wenzako na sio kusema hku kiko hvi ama vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siyo Diaspora mkuu ila ninajaribu kuonesha namna vijana wa kitanzania walivyo JEHANNUM na ndoto zao zinavyokufa
- Mazingira yanatengeneza vikwazo vizito kuliko kawaida ambavyo hata havina maana
 
Back
Top Bottom