Haya ndio Mazingira matamu yanayohamasisha ubunifu wa Kujiajiri nchini Marekani. Si Porojo za Siasa

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Baada ya tukio la wiki iliyopita kutokea kwa vijana zaidi ya 56,000 waliokuwa wakipambana kupata ajira 400 tu zilizokuwa zikitangazwa, kumetokea na kundi la ambalo binafsi nawaona kama watu wasiojielewa au wameamua kuwa wanafiki tu ( Kwa Tanzani unafiki uko damuni ) wanajaribu kuonesha kama vile vijana ni wavivu, hawafikirii, hawataki kujiajiri. Wakati huo mtu anayesema hivyo hajawahi kujiajiri na hivyo hajui chochote kuhusu kujiajiri. Hebu angalia wenzetu namna walivyojengewa mifumo ya kujiajiri

- Mfano, kwa US mtu yeyote mwenye idea au anayetaka kuanzisha Start-Up anaweza kuelekea "Silicon Valley, an OK TO FAIL start up zone na kujaribu kadri ya uwezo wake. Matajiri wenye funds pia hurusiwa kununua hisa kwenye startups wanazozipenda. Makampuni makubwa yaliyochipukia hapo ni Amazon, Instagram, Uber nk
- Ukiwa na wazo na huna mtaji kabisa, unaweza kuraise pia mfano hapa www.indiegogo.com na mfano wa waliopata ni hawa www.mvmtwatches.com
- Bidhaa zao wanaweza kuziuza dunia nzima, sisi hata PAYPAL hatuna !
 
hatuna paypal!! au umeshindwa kujiunga? sema mifumo si rafiki kivile kuna haja ya kuboresha huduma hizo.

kuhusu kujiajili mifumo ya elimu na uwezeshwaji inatakiwa iiundwe kiuyakinifu ili kutatua tatizo lkn sisi waafrika ni matatizo yanayozalisha matatizo!
 
Huwezi kupokea pesa ukiwa Tz.
 
Wewe umeshawahi kupokea pesa kupitia paypal hata nchini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…