Ukifatilia vizuri utagundua maisha unayoishi geita ndo hayo hayo unaweza ukayaishi hata ukiwa DSMet chanika kule napo ni dar aisee haya ndio niliojionea
● kule huwezi kutofautisha kijana na mzee maana wote wamevaa vibaragashia chini wamefunga nguo sijui ni kitenge
● ukupita macho yote kwako, utasindikizwa na macho ad utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka yanafungwa saa mbili tu kufunguliwa ni saa tano asbh
chanika na maeneo mengine ambayo sijayataja hayana hasi ya kuwa dsm, Kuna baadhi ya mikoa kanda za ziwa ni bora kuliko chanika kwamfano geita iko vizuri sana kuliko huku dsm sijui chanika et naishi dar ndo chanika kweli tena ndani ndani😀
Tanga saa 3 huoni mtu nje 😅Hawana tofaut na watu wa Tanga loooh ule mkoa una maajabu sana sio Kwa uvivu ule wa watu wa kule
Asubuh kutafuta maduka mpaka upande gari utafute lilofunguliwa hapo ni mpaka saa nne ndo wanaamka kufunguaTanga saa 3 huoni mtu nje 😅
Ni waoga au wanakuwa wamechoka sana kukaa vibarazani na kuamua kwenda "kujipunzisha"?Tanga saa 3 huoni mtu nje 😅
Sijui sababu ni nn!?Ni waoga au wanakuwa wamechoka sana kukaa vibarazani na kuamua kwenda "kujipunzisha"?
Kijana mdogo sana wewe,hujui usemalo!enzi hizo tukiishi upanga mtaa wa mindu,tuliona kariakoo uswahilini sana,tulikuwa tu tunapita pugu road kwenda airport tulikuwa na dharau wewe,leo nipo mkuranga,hakuna mbali kijana!,ishi kwa upole,heshimu kila mtu!et chanika kule napo ni dar aisee haya ndio niliojionea
● kule huwezi kutofautisha kijana na mzee maana wote wamevaa vibaragashia chini wamefunga nguo sijui ni kitenge
● ukupita macho yote kwako, utasindikizwa na macho ad utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka yanafungwa saa mbili tu kufunguliwa ni saa tano asbh
chanika na maeneo mengine ambayo sijayataja hayana hasi ya kuwa dsm, Kuna baadhi ya mikoa kanda za ziwa ni bora kuliko chanika kwamfano geita iko vizuri sana kuliko huku dsm sijui chanika et naishi dar ndo chanika kweli tena ndani ndani😀
Uko chanika mkuu??Kijana mdogo sana wewe,hujui usemalo!enzi hizo tukiishi upanga mtaa wa mindu,tuliona kariakoo uswahilini sana,tulikuwa tu tunapita pugu road kwenda airport tulikuwa na dharau wewe,leo nipo mkuranga,hakuna mbali kijana!,ishi kwa upole,heshimu kila mtu!
Yeye ndiyo hayo aliyoyaona.Utamkatazaje alichokiona kwa sababu ya wewe ulivyoiona Kariakoo ya kale wakati hajaiona Chanika ya keshokutwa?Kijana mdogo sana wewe,hujui usemalo!enzi hizo tukiishi upanga mtaa wa mindu,tuliona kariakoo uswahilini sana,tulikuwa tu tunapita pugu road kwenda airport tulikuwa na dharau wewe,leo nipo mkuranga,hakuna mbali kijana!,ishi kwa upole,heshimu kila mtu!
Kweli kabisa hana shukrani. Watu wa chanika wamekomboa kaya nyingi kwa kukaanga miogo na kujipatia kipato! Wanastahili kupongezwaHata ungewapongeza kwa kuwalimia mihogo mnakaanga chipsi dume.
Umefanya vizur kumuuliza ni chanika ya wapi?Chanika ya wapi umeenda Faza maduka yanafungwa saa mbili na kufunguliwa saa 5?
Kweli kabisa hana shukrani. Watu wa chanika wamekomboa kaya nyingi kwa kukaanga miogo na kujipatia kipato! Wanastahili kupongezwa
Miongoni mwa hao watu wala mihogo,nipo mimi.Nikipotea siku nzima bila kurudi basi ujue nilipitia kubugia mihogo.Kweli kabisa hana shukrani. Watu wa chanika wamekomboa kaya nyingi kwa kukaanga miogo na kujipatia kipato! Wanastahili kupongezwa
Chanika na Nanjilinji ni ngoma drooEti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona
● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge
● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka yanafungwa saa mbili tu, kufunguliwa ni saa tano asubuhi
Chanika na maeneo mengine ambayo sijayataja hayana hasi ya kuwa DSM, kuna baadhi ya mikoa Kanda za Ziwa ni bora kuliko Chanika, kwa mfano Geita iko vizuri sana kuliko huku DSM sijui Chanika et naishi Dar ndo Chanika kweli tena ndani ndani 😀