Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

Hahaha yani ukifika pale Pugu njiapanda kwenye mataa wanapaita Pugu kona ukikunja kushoto unaenda Chanika, ukienda moja kwa moja unaenda Kisarawe ambayo ni Pwani ila cha ajabu hapo Kisarawe ni karibu zaidi ni kama dakika kumi tu ila Chanika ni zaidi ya nusu saa, ila mi naona kijiografia bado Dar ni ndogo sana nilitamani hata Pwani yote iungane na Dar tu
 
Huijui Chanika wala unachoandika hakina ukweli wowote.
 
Tutokee na ushamba wako wa Geita hapa.
 
Breaking News: Mtoa mada hajawahi kufika Dar tangu azaliwe. Ndio anataka kuja Dar kuanza maisha anataka kuanzia Chanika Ila hajji ABC za Chanika so ameleta uzi hapa ili kutaka kujua zaidi kuhusu Chanika.

Naomba wakazi wa Chanika msifunguke. Muacheni na ushamba wake
 
Acheni kukalili maisha, Maisha popote.. kikubwa una make money, mipango yako inaenda, izo dhana za zamani sanaa, eti kuishi dar nd ujanja..
Kuna watu wapo Dar miaka yote hata maisha hawana.
Pia miji inakua ishi unapopenda, hatuwezi kufanana mitizamo
 
Mtoto wa kiume masimango ya nini ,hivi Tandale ndio ya kuidharau kiasi hicho mkuu
 
Kanda ya ziwa geita uifananishe na chanika..? Mwanza yenyewe haina mfanano na chanika. Acha kufananisha dar na porini mkuu. Yaani geita 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…