Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

Kanda ya ziwa geita uifananishe na chanika..? Mwanza yenyewe haina mfanano na chanika. Acha kufananisha dar na porini mkuu. Yaani geita 🀣🀣🀣🀣
tena chanika ni mwatolole kbs tusiseme geita
 
Ata kulagwa kule ndani ndani ni mikoa tena vijijini njoo adi kule tegeta A pote uko ni mikoani
 
Huyu mtu mtoa mada ana phobia ..... Mbona hata WASHINGTON DC , PARIS. Kuna slums areas na TENA huko unakuta MA TEJA WALIO SHINDIKANA .
 
Hila sehemu yenye wavaa kobazi kuna mambo mengi ya ulozi na uswahili. Mimi nilikuwa makini sana nikiona mtaa una wavaa makobazi wengi sikai. Hata ukinipa nyumba nikae bure sitaki!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uko ukipika kuku lazima umugawie mwenye nyumba usipofanya ivo utaona
 
Huyu mtu mtoa mada ana phobia ..... Mbona hata WASHINGTON DC , PARIS. Kuna slums areas na TENA huko unakuta MA TEJA WALIO SHINDIKANA .
Marekani ni mamtoni kule sehemu ata akiwa mbaya social service niza uhakika sio huku unajua hapa dar kunasehemu wanatumua baiskeli za mkulima kupeleka wagonjwa hospital zaidi ya makilometer
 
Chanika ya wapi umeenda Faza maduka yanafungwa saa mbili na kufunguliwa saa 5?
Sijawahi fika chanika, ila sidhani kama Chanika ina ishi watu wa kabila moja au wanaotoka mka mmoja.
Hawezi kuwa na tabia inayofanana maduka ya akina mangi wafunge saa 2, wafungue saa 4 asbuhi. 🀣🀣🀣
 
Chanika zipo zaidi ya moja, fafanua ni ipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…