Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

Hawana tofaut na watu wa Tanga loooh ule mkoa una maajabu sana sio Kwa uvivu ule wa watu wa kule
Chanika sio Mkoa wewe kiazi ni sehemu ndani ya Wilaya ya Ilala imepakana na Kisarawe Mkoa wa Pwani
 
Muongo sana we raia, chanika pamechangamka sjui maana yako ya kupotosha nnn!?
 
Muongo sana we raia, chanika pamechangamka sjui maana yako ya kupotosha nnn!?
Huyo kibungo ana matatizo ya kinyeo ndio madhara ya kutumia njia ya haja kubwa kwa matumizi mengine yasifaa kwa matumizi ya binadamu
 
Kwani LIKUD anasemaje
Huyo jamaa haijui chanika na inawezekana hata Dar yenyewe hajawahi kukanyaga, ni mtu wa kanda ya ziwa huko.

Eti Chanika maduka yanafungwa saw mbili..

Chanika is another Kariakoo.

Ile energy ya Dar Es Salaam ya miaka ya tisini, imekuwa re-incarnated in Chanika.

Huwezi ipata mahala popote jijini Dar Es Salaam kwa sababu wazawa wengi wamehama.

Buza + Mbagala + Chanika= New Dar Es Salaam...



Kesho jioni nitakuja Chanika kula bata .

Chanika kuchele
 
Ni kweli ukipita saa tano za usiku njiani unatembea mwenyewe
Tanga ndio kupo hivyo sio Tanga tu mikoa mingi ikifika saa 4 au 5 ukitembea barabarani upo peke yako hakuna amsha amsha km Dar, maduka kufunguliwa kuanzia saa 3 au 4 mpaka 5 wakati Dar huduma 24|7
 
Atakua anaongelea Viwege au Majohe huko ndio anapaita Chanika
 
Wewe haukuwa Chanika... Nadhani ulikuwa Kisarawe mjini au maeneo ya kule Homboza....
Chanika kumechangamka kwelikweli...... Kama hujui maeneo ni vizuri uulize .....siyo unaropokaropoka.....

Kumbuka Chanika kule Kuna makazi ya Makamu wa raisi Dk. Mpango...
 
Nilianza kusoma huu uzi ila sikusoma comment moja kwa moja nikaenda kuku tag mkuu..

Kumbe tayari ulishapita πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na nilisikia za chini chini kuwa Una nursery kule chanika mkuu πŸ«΅πŸ«΅πŸ«‘πŸ«‘πŸ˜‚
 
Your welcome alot..
Naomba ukipita hapa kwa mbiki kuna hardware kubwa upande wa kulia...

Hapo nyoosha mkono mimi takuona mkuu
 
Hapajui Chanika huyo
 
Kabisa mkurugenzi.... Atakuwa hapajui.... Na nahisi atakuwa mgeni kutoka huko Malampaka Shinyanga huko...
Malampaka ipo Simiyu au Shinyanga si walipiga Pasu pale hio ikawekwa Simiyu au bado ipo Shinyanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…