Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

Chanika ipi hiyo mana mimi najua chanika ipo biashara hadi usiku wa manane na kuna watu wengi sana yani ni mbagala ndogo
 
Umefanya vizur kumuuliza ni chanika ya wapi?

Wakati pale msumbiji mpaka saa saa tano usiku kuna maduka yako wazi, saa nne au tano kama uko kariakoo mchana

Kuvuka barabara ni shida jinsi palivyo busy kwa magari
Hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…