Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Upinzani unachohitaji mwaka huu niUpinzani mkishindwa kukiondoa hiki chama cha walevi na wendawazimu madarakani, nitawaona wa hovyo kabisa!
Upinzani unachohitaji mwaka huu ni
1.Kuhamasisha nguvu ya umma katika kulinda kura
2.Kuhamasisha nguvu ya umma katika kusimamia kuhesabu kura na kutangaza matokeo yote ya kura.
CCM kwa waliyoyafanya miaka hii mitano nina uhakika wananchi wakikomaa hata vyombo vya dola vitawanawa.
Sahihi kabisaKimsingi hakuna:
-MFANYAKAZI
-FANYABIASHARA
-MKULIMA
-MWANAFUNZI
Anayeweza kuipigia kura ccm labda wale wa chato tu...
Ukatili wa polisi na traffic police!
Ndio ukweli....Sahihi kabisa
JPM atapata 98%ya kura,hao machizi wengine wazee wa lockdown watagawana hiyo 2%.Ongeza milioni 50 kwa kila kijiji na makoto katili ya asilimia 15 ya mshara kulipia deni Bodi ya Mikopo
Atapata za kutoka kwenye tume yenu.JP
JPM atapata 98%ya kura,hao machizi wengine wazee wa lockdown watagawana hiyo 2%.
Hahaha vimefeliVitambulisho vya wajasiliamali.
Hata kwenye ma..t..a..k.. bado CCM itashindaWatanzania hata ukiwaweka kidole katika sikio bado CCM itapata kura. Hayo uliyoyaandika ni sahihi but si kwa Watanzania niwajuao mimi
Sio Watanzania wa leo, jinsi walivyopigika kiuchumi!!Watanzania hata ukiwaweka kidole katika sikio bado CCM itapata kura. Hayo uliyoyaandika ni sahihi but si kwa Watanzania niwajuao mimi